Ingia / Jisajili

Ee Bwana Nakuinulia Nafsi Yangu

Mtunzi: Mwl. Annord Mwapinga
> Mfahamu Zaidi Mwl. Annord Mwapinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Mwl. Annord Mwapinga

Makundi Nyimbo: Majilio | Zaburi

Umepakiwa na: ANNORD MWAPINGA

Umepakuliwa mara 2,644 | Umetazamwa mara 5,578

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

SOSTEN ALEX SEIYA Nov 24, 2016
Kaka Terence Vusile Silonda, Tumsifu Yesu Kristu. Awali ya yote nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya wewe na team yote mnaosaidiana katika kufanikisha kazi yote hii kubwa ajabu, ya kuweka kazi za nyimbo za kumsifu Mungu mtandaoni Pili naomba kuchukua fursa hii kutoa maoni yangu machache ingawaje mimi sio mtaalamu wa ICT lakini naamini inputs hizi zinawezekana 1. Katika hii website inawezekana ikawemo Category ya materials za wanafunzi wanaojifunza Music theory na Music instruments eg Piano? Nafahamu zipo materials nyingi za namna hiyo mitandaoni lakini kuna shida ya reliability na pia nyingi ni za kiingereza. hivyo kama tukiwa na hiyo category hapa, basi waalimu wetu wa muziki kwa lugha ya kiswahili wanaweza kuweka humo materials hizo kwa faida ya wengi kizazi hiki na vingi vijavyo 2. Kama kuna uwezekano, naamini viongozi wetu wa Kanisa kwa ngazi za Majimbo wanaweza kuhusishwa ama kuombwa ufadhili wa moja kwa moja katika kusaidia uendeshaji wa hii website (kama hakutakuwa na madhara yoyote kwa upande wowote). Kwa sababu nina imani, muda si mrefu ujao, hii website inatakuja kuwa international, hata wanamuziki wasiozungumza kiswahili, na hata wale wanaoimba muziki wa injili nje ya kanisa Katoliki wanaweza kuitumia kupata nyimbo ama ku upload nyimbo zao humu. Na hivyo kufanya visitors kuwa wengi kwa wakati mmoja jambo litakalokuwa na athari kadhaa(sina uhakika). kwa hiyo inaweza ikahitaji full time controller sio? ambaye atakuwa muajiriwa wa hii website. ASANTE. KAZI NJEMA NA MUNGU AENDELEE KUKUBARIKI WEWE NA FAMILIA YAKO..AMINA

Toa Maoni yako hapa