Ingia / Jisajili

Ee Bwana Nimekuita

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,193 | Umetazamwa mara 8,695

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana, ee Bwana nimekuita kwa maana utaitika
Utege sikio lako utege sikio lako usikie neno neno langu x 2

  1. Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho, unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako.
     
  2. Dhihirisha fadhili zako, fadhili zako za ajabu, wewe uwaokoaye wanao kukimbilia.Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa