Maneno ya wimbo
EE BWANA Nita kutukuxa kwamaana umeniinua Wala hukuwafurahisha adui zangu just yangu X2.(1).U meniinua nafsi yangu Ee Bwana kutoka kuzimu umeniuisha nakunitoa miongoni mwao washukao shimoni.(2).Mwimbieni Bwana zaburi Enyi watauwa wake nakufanya shukrani kwa kumbukumbu la utakatofu wake.(3).Maana ghazabu zake Ni zakitambo kidogo katika radhi yake mna uhai.huenda kuliko hujaku kaa usiku lakini Ni asubuhi ujafuraha .(4).EE BWANA usikie unirehemu Bwana uwemsaidizi wangu uligeuza matanga yangu kuwa machezo EE BWANA Mungu wangu Nita kushukuru milele.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu