Mtunzi: Joshua Josias
> Mfahamu Zaidi Joshua Josias
> Tazama Nyimbo nyingine za Joshua Josias
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Joshua Josias
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiEe Bwana sistahili uingie kwangu, lakini sema neno (moja) lakini sema neno (moja), lakini sema neno na roho yangu itapona*2
1. Natamani sana Bwana ukae ndani ya roho, lakini sema neno na roho itapona
2. Ninakutamani sana ukae ndani ya roho, lakini sema neno na roho itapona
3. Ninakuja mbele yako Yesu wangu nipokee, lakini sema neno na roho itapona