Ingia / Jisajili

EE BWANA SISTAHILI

Mtunzi: Kat. Mosses Misamo
> Mfahamu Zaidi Kat. Mosses Misamo
> Tazama Nyimbo nyingine za Kat. Mosses Misamo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 219 | Umetazamwa mara 743

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
||: EE Bwana sistahili Uingie kwangu Lakini semaneno tu na Roho yangu itapona :|| MASHAIRI: 1.) EE Bwana ponya Roho yangu kwa Mwili wako. 2.) Ukanipe uleuzima kutoka Mbinguni. 3.) Ili naminiwe hai Kama wewe Bwana.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa