Mtunzi: J. H. Mbonye
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: ANNORD MWAPINGA
Umepakuliwa mara 7,081 | Umetazamwa mara 13,003
Download Nota Download MidiEe Bwana sistahili uje kwangu lakini sema neno x2
Sema neno moja na roho yangu Bwana itapona sema neno moja na roho yangu itapona x2
1. Natamani sana Bwana ukae ndani ya roho yangu lakini sema neno moja na roho yangu itapona
2. Ninakutamani sana we Yesu wangu mwokozi wangu lakini sema neno…
3. Ninakuja mbele yako we Yesu wangu unipokee lakini sema neno….