Mtunzi: D. Cheru
> Tazama Nyimbo nyingine za D. Cheru
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 3,937 | Umetazamwa mara 9,105
Download Nota Download MidiEe Bwana sistahili uje kwangu (Bwana) sistahili uje kwangu lakini sema neno tu useme neno tuu na roho yangu itapona x2
1. Mwili wako Bwana ni chakula cha uzima sema neno tu na roho yangu itapona roho itapona
2. Roho yangu Bwana Yessu inakutamani sema neno tu na roho yangu itapona roho itapona
3. Ninapokula mwili nayo damu yako sema neno tu na roho yangu itapona roho itapona