Mtunzi: Novatus Mushi
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 136 | Umetazamwa mara 291
Download Nota
Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana tunakuja kwako tukiwa na vipaji vyetu Ee Baba pokea X2Pokea mkate Baba pokea na divai uvitakase kwa wema wako Bwana X21. Twakutolea mazao ya mashamba ni kazi ya mikono yetu Ee Bwana2. Twakutolea fedha za mifukoni ni mali yako Ee Baba upokee3. Twakutolea nayo maombi yetu twakuomba Baba uyasikilize