Ingia / Jisajili

Ee Bwana Twakuomba

Mtunzi: M. B. Chuwa
> Tazama Nyimbo nyingine za M. B. Chuwa

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 1,999 | Umetazamwa mara 7,152

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana twakuomba upokee upokee vipaje vyetu
Vyote ni mali yako twakutolea, ulivyotugawia vikawa vyetu
Twakuomba Ee Baba upokee

  1. Mkate na divai twaleta twakuomba Ee Baba upokee
     
  2. Ni kazi yetu sisi wanao twakuomba Ee Baba upokee
     
  3. Twakutolea na nyoyo zetu twakuomba Ee Baba upokee
     
  4. Twaleta pia na shida zetu twakuomba Ee Baba upokee
     
  5. Twaleta pia na magonjwa yetu twakuomba Ee Baba upokee

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa