Ingia / Jisajili

EE BWANA TWAKUTOLEA SADAKA

Mtunzi: Lazaro.lrunde
> Mfahamu Zaidi Lazaro.lrunde
> Tazama Nyimbo nyingine za Lazaro.lrunde

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 262 | Umetazamwa mara 941

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana twakutolea sada ka zetu .EE BWANA twa kuto Lea sadaka zetuX2.Uipokee (Baba) uitakase (Kweli) iwesafi Kama ile ya AbeliX2(1)Fedha za mifukoni tunakutolea Twakuomba mungu Baba uzipokee.(2).Mali zetu zote tunaleta kwako Twakuomba mungu Baba uzipokee.(3)Nafsi zetu Baba twazileta kwako .Twakuomba Baba uzipokee .(4).Pia nyayo zetu twazileta kwako .Twakuomba mungu Baba uzipokee

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa