Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 2,273 | Umetazamwa mara 5,291
Download Nota Download MidiKiitikio
Ee Bwana, Ee Bwana ulimwengu wote u katika uwezo wako,
wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda
Shairi
Wewe umeumba yote, mbingu na nchi na vitu vyote vya ajabu vyilivyomo chini ya mbingu
ndiwe Bwana wa yote