Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,277 | Umetazamwa mara 5,053
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ee Bwana ulimwengu wote, u-katika uweza wako x2. Wala hakuna awezaye kukupinga kama ukipenda x2.
Mashairi:
1. Wewe umeumba vitu vyote, umeumba mbingu na nchi, na vitu vyote vya ajabu vitu vyote vya ajabu.
2. Vilivyomo duniani na vilivyomo chini ya mbingu, ndiwe Bwana wa vyote ndiwe Bwana wa vyote.