Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 3,703 | Umetazamwa mara 7,257
Download Nota Download MidiEe Bwana ulimwengu wote ukatika uwezo wako wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda x2
1;Wewe umeumba yote mbingu na nchi na vitu vyote vya ajabu vilivyomo chini ya mbingu ndiwe bwana wa yote.
2;Tazama viumbe vyote vya dunia vinakusifu vinacheza na kurukaruka kwa shangwe vikikushangila.