Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ulitafakari Agano

Mtunzi: S. O. Mabanga

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,544 | Umetazamwa mara 5,732

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana ulitafakari agano usisahau milele uhai wa watu wako walioonewa x 2

  1. Ee Mungu usimame ujitetee mwenyewe, usisahau sauti ya watesi wako.
     
  2. Mchana ni wako usiku nao ni wako, ndiwe uliyeufanya mwanga na jua.
     
  3. Mipaka ya dunia ni wewe uliiweka, kaskazi na kusi mwanga na jua.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa