Mtunzi: Br. Fulmence Kivakule
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Fulmence Kivakule
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,216 | Umetazamwa mara 4,508
Download Nota Download MidiBR. FULMENCE KIVAKULE.
Ee Bwana unifanye niwe chombo cha amani yako X2
2. Ee Bwana nieneze mapendo palipo na chuki.
3. Ee Bwana nilete msamaha pale wanapokoseana.
4. Ee Bwana nipatanishe pale wanapogombana.
5. Ee Bwana nitumainishe pale wanapokata moyo.
6. Kuwe taa penye giza furaha palipo huzuni.
7. Nijalie kufariji kuliko kufarijiwa.
8. Nijalie kufahamu kuliko kufahamiwa.
9. Atakayekufa hivyo azaliwe huko mbinguni.