Ingia / Jisajili

Ee Bwana Unifanye Niwe Chombo Cha Amani

Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Fransis Norbert

Umepakuliwa mara 17 | Umetazamwa mara 46

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana unifanye niwe chombo cha amani palipo chuki nieneze mapendo pale palipo na makosa pawe na msamaha, palipo na mashaka pawe na imani, pasipo na matumaini pawe namatumaini, palipo giza nilete mwanga palipo na huzuni pawe na furaha 1. Ee Bwana unisaidie nitamani sana kufariji kuliko kufarijiwa kufahamu kuliko kufahamiwa kupenda kuliko kupendwa 2.Kwakuwa ni katika kutoa ndipo tunapokea ni katika kusamehe ndipo tunasamehewa 3. Ni katika kifo ndipo tunazaliwa katika uzima wa milele Amina

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa