Ingia / Jisajili

Ee Bwana Unijulishe Njia Zako

Mtunzi: Africanus A.N
> Mfahamu Zaidi Africanus A.N
> Tazama Nyimbo nyingine za Africanus A.N

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Africanus Adriano

Umepakuliwa mara 472 | Umetazamwa mara 1,047

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio; Ee Bwana unijulishe njia zako, ee Bwana unijulishe njia zako.*2 Mashairi; 1.Ee Bwana kumbuka rehema zako nazo fadhili zako, ee Bwana kwa ajili ya jina lako. 2.unijulishe njia zako Bwana nayo mapito yako, uniongoze katika kweli yako. 3.Maana fadhili zako zimekuwako toka zamani, zimekuwako tokea zamani sana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa