Ingia / Jisajili

Ee Bwana Utege Sikio Lako

Mtunzi: Michael Matai
> Mfahamu Zaidi Michael Matai
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Matai

Umepakuliwa mara 757 | Umetazamwa mara 2,173

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 21 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 21 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 21 Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

Ee Bwana utege sikio lako unijibu, wewe uliye Mungu wangu umwokoe mtumishi wako, anayekutumaini.

1.  Wewe Bwana unifadhili maana nakulilia wewe mchana kutwa.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa