Ingia / Jisajili

Ee Bwana Utege Sikio Lako Unijibu

Mtunzi: Frank kamti
> Mfahamu Zaidi Frank kamti
> Tazama Nyimbo nyingine za Frank kamti

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Enock Kasiano

Umepakuliwa mara 167 | Umetazamwa mara 220

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee bwana utege sikio lako ebwana utege sikio lako unijibu wewe ulio Mungu wangu umwokoe mtumishi wako anayekutumain wewe bwana unifadhili maana nakulilia wewe mchana kutwa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa