Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Albert Maneno
Umepakuliwa mara 2,222 | Umetazamwa mara 5,457
Download Nota Download MidiEe Bwana utege sikio lako unijibu. Wewe uliye Mungu wangu, umwokoe mtumishi wako anayekutumaini. Wewe, Bwana unifadhili, maana nakulilia wewe mchana kutwa.