Mtunzi: Nkana G.
> Tazama Nyimbo nyingine za Nkana G.
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Goliath Nkana
Umepakuliwa mara 1,732 | Umetazamwa mara 3,491
Download NotaEe Bwana utege sikio lako unijibu x2
:Wewe uliye Mungu wangu, umwokoe mtumishi wako anayekutumaini x2
1. Wewe Bwana unifadhili maana nakulilia wewe mchana kutwa.
2. Ee Mungu waunganisha mioyo ya waamini wako kwa nia moja
3. Ee Mungu uwawezeshe watu wako wapende amri zo wakuheshimu.