Ingia / Jisajili

Ee Bwana Utuonyeshe Rehema Zako

Mtunzi: Martias Benard Babu
> Tazama Nyimbo nyingine za Martias Benard Babu

Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 829 | Umetazamwa mara 2,632

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 15 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana utuonyeshe Rehema zako x2, na utupe na wokovu wako na utuonyeshe na Rehema, Ee Bwana utuonyeshe Rehema zako x2.

Mashairi:

1. Na nisikie atakavyosema Mungu Bwana maana atawaambia watu wake amani.

2. Hakika wokovu wake ukaribu na wamchao utukufu ukae katika nchi yetu.

3. Fadhili na kweli zimekutana haki na amani zimebusiana kweli kweli katika nchi.


Maoni - Toa Maoni

joseph mpuza msigwa Sep 22, 2017
mwalimu hongera sana wimbo wako ni mzuri nakutakia kila la heli udumu katika utume

Toa Maoni yako hapa