Ingia / Jisajili

Ee Bwana Utuonyeshe

Mtunzi: T. H. Eriyo
> Tazama Nyimbo nyingine za T. H. Eriyo

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 1,404 | Umetazamwa mara 3,182

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana, utuonyeshe rehema zako, utupe na wokovu wako.
 

  1. Na nisikie atakavyosema Mungu Bwana / Maana atawaambia watu wake amani.
     
  2. Hakika wokovu wake u karibu na mwamchao / Utukufu ukae katika nchi yetu.
     
  3. Fadhili na kweli zimekutana / Haki na amani zimebusiana.
     
  4. Kweli imechipuka katika nchi  / Haki imechungulia kutoka mbinguni. 
     
  5. Naam, Bwana atatoa kilicho chema / Na nchi yetu itatoa mazao yake.

 


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa