Mtunzi: F. M. Shimanyi
> Mfahamu Zaidi F. M. Shimanyi
> Tazama Nyimbo nyingine za F. M. Shimanyi
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: FORTUNE SHIMANYI
Umepakuliwa mara 1,009 | Umetazamwa mara 3,331
Download Nota Download Midi(Ee bwana utushibishe) asubuhi kwa fadhili zako nasi tutashangilia na kufurahi na kufurahi siku zetu zote
1. Na uzuri wa bwana Mungu wetu uwe juu yetu
2. Na kazi ya mikono yetu utufanyie thabiti