Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiEe BWANA UWAPE AMANI
Ee Bwana uwape amani, wakungojao, watu wawasadiki manabii wako, usikilize sala ya mtumwa wako,na ya taifa lako Israeli ...x2
1) Ee Bwana uwahurumie watu walioitwa, kwa jina lako na Israeli uliyemwita mzao wako wa kwanza.
2) Ee Bwana usikilize sala ya mtumishi wako, sawasawa na kibali chako kwa watu wako.