Ingia / Jisajili

Ee Bwana uwape amani

Mtunzi: Frt.emmanuel Msabila
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt.emmanuel Msabila

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Emmanuel Msabila

Umepakuliwa mara 440 | Umetazamwa mara 1,160

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana uwape amani wakungojao, watu wawasadiki Manabii wako. Mashairi. 1. Usikilize sala ya mtumwa wako na ya taifa lako Israel. 2. Nalifurahi waliponiambia na twende nyumbani kwake Bwana. 3. Bwana uwape amani wakungojao, wawasadiki manabii wako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa