Ingia / Jisajili

Ee Bwana Uwape Amani

Mtunzi: Lopa & Mhenga

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: James Waibina

Umepakuliwa mara 866 | Umetazamwa mara 1,546

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Maneno ya wimbo Ee Bwana Bwana uwape amani Ee Bwana wape amani x2 Wakungojao ili wasadiki wawasadiki manabii wako manabii wako x2 Usikilize sala ya mtumwa sala ya mtumwa wako, na ya taifa taifa lako taifa la israeli. Uwakusanye wakusanye wote wakabila la Yakobo, na kuwafanya urithi wako kama siku za kale. Uwarehemu warehemu walioitwa kwa jina lako, na Israeli uliyemwita mzaliwa wako wa kwanza.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa