Ingia / Jisajili

Ee Bwana Uwape Amani

Mtunzi: Ezekiel mwalongo
> Mfahamu Zaidi Ezekiel mwalongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ezekiel mwalongo

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo

Umepakiwa na: Ezekiel Mwalongo

Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 21

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Ee Bwana uwape amani amani wakungojao ili watu wawasadiki manabii wako x2 usikilize sala ya mtumwa wako na ya taifa lako israel x2
  2. 1 nalifurahi walipo niambie na twende nyumbani mwa Bwana
    1. 2. Ewe Yestusaremu uliye jengwa kama mji ulioshikamana
  3. 3.Atukuzwe Mungu Baba na mwana na roho mtakatifu Amina

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa