Mtunzi: Joseph James Fissoo (Jj)
> Mfahamu Zaidi Joseph James Fissoo (Jj)
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph James Fissoo (Jj)
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: JOSEPH FISSOO
Umepakuliwa mara 522 | Umetazamwa mara 1,746
Download Nota Download MidiEe Bwana Uwape amani wakungojao x 2
(Ili watu) Ili watu wawasadiki hao, manabii wako x2
1. Usikilize sala za mtumwa wako, na taifa lako Israel
2. Wote wakaao dunian kote, watajua kwamba, wewe ni Mungu
3. Uijaze Sayuni, Adhama yako, patakatifu pako, utukufu wako