Ingia / Jisajili

Ee Bwana Uwape Amani

Mtunzi: Lopa & Mhenga

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Gaudence Mtui

Umepakuliwa mara 2,795 | Umetazamwa mara 4,602

Download Nota
Maneno ya wimbo

Ee Bwana Bwana uwape amani Ee Bwana wape amani x2
Wakungojao ili wasadiki wawasadiki manabii wako manabii wako x2

  1. Usikilize sala ya mtumwa sala ya mtumwa wako, na ya taifa taifa lako taifa la israeli.
     
  2. Uwakusanye wakusanye wote wakabila la Yakobo, na kuwafanya urithi wako kama siku za kale.
     
  3. Uwarehemu warehemu walioitwa kwa jina lako, na Israeli uliyemwita mzaliwa wako wa kwanza.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa