Ingia / Jisajili

EE BWANA UWE PAMOJA NAMI

Mtunzi: Francis Saka
> Mfahamu Zaidi Francis Saka
> Tazama Nyimbo nyingine za Francis Saka

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: francis robert

Umepakuliwa mara 61 | Umetazamwa mara 293

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Pentekoste
- Katikati Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee bwana uwe pamoj nami katika taabu zangu zote x2

1.aketie mahaali palipo juu,atakaa katika uvuli wake ,katika tabu zangu zote.

2.nitasema bwana ndie kimbilio langu ,mungu wangu ninae mtumaini ,katika tabu zangu zote.

3.mabaya hayata kupata wewe tauni homa havitakukalibia katika tabu zangu zote.

4.atakuagizia malaika wake ,wakulinde katika njia zako zote,katika tabu zangu zote.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa