Ingia / Jisajili

Ee Bwana Uwe Pamoja Nami

Mtunzi: T. C. Masologo
> Mfahamu Zaidi T. C. Masologo
> Tazama Nyimbo nyingine za T. C. Masologo

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Antony Chacha

Umepakuliwa mara 740 | Umetazamwa mara 2,483

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

 Ee Bwana uwe pamoja nami Bwana katika taabu zangu uwe pamoja nami Bwana uwe pamoja nami katika taabu zangu

  1. Aketiye mahali pa siri pake aliye juu atakaa katika uvuli wake mwenye enzi nitasema Bwana ndiye kimbilio langu Mungu wangu ninaye mtumaini
  2. Mabaya hayata kupata wewe wala tauni haitakaribia homa yako kwa kuwa atakuagizia malaika wake wakulinde katika njia zako zote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa