Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wavipenda

Mtunzi: Japhet John Ngonyani
> Mfahamu Zaidi Japhet John Ngonyani
> Tazama Nyimbo nyingine za Japhet John Ngonyani

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Michael Kiduta

Umepakuliwa mara 66 | Umetazamwa mara 243

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Jumatano ya Majivu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana wavipenda vitu vyote vilivyopo wala hukichukii kitu chochote ulichokiumba 1. Unawasamehe watu dhambi zao kwaajili ya kufanya kitubio 2. Na kuwahurumia kwakuwa ndiwe Bwana Mungu wetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa