Mtunzi: Alberto Fransisco Muyonga
> Tazama Nyimbo nyingine za Alberto Fransisco Muyonga
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo
Umepakiwa na: ESSAU NDABABONYE
Umepakuliwa mara 2,022 | Umetazamwa mara 3,293
Download Nota Download MidiEe Bwana wewe wavipenda wavipenda vitu vyote vitu vyote vitu vyote vilivyopo.
1.Wala hukichukii kitu chochote ulichokiumba Bwana ulichokiumba.
2.Unawasamehe watu dhambi zao kwa ajili ya kufanya kufanya kitubio.
3.Nakuwahurumia kwa kuwa ndiwe kwa kuwa wewe ndiwe Bwana Bwana Mungu wetu.