Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wewe Wavipenda

Mtunzi: ADILI, G
> Mfahamu Zaidi ADILI, G
> Tazama Nyimbo nyingine za ADILI, G

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Adili G.

Umepakuliwa mara 21 | Umetazamwa mara 24

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Jumatano ya Majivu

Download Nota
Maneno ya wimbo
Ee Bwana wewe wavipenda vitu vyote vilivyopo, wala hukichukii kitu chochote ulichokiumba. 1.Unawasamehe watu dhambi zao ili wapate kutubu 2.Nakuwahurumia watu kwa kuwa ndiwe Bwana Mungu wetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa