Ingia / Jisajili

Ee Bwana wewe wavipenda vitu vyote

Mtunzi: Soko B
> Mfahamu Zaidi Soko B
> Tazama Nyimbo nyingine za Soko B

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo

Umepakiwa na: Benedict Soko

Umepakuliwa mara 226 | Umetazamwa mara 742

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Jumatano ya Majivu
- Katikati Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka A
- Katikati Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Ee Bwana wewe wavipenda vitu vyote vilivyomo.x2 Wala hukichukii, walahukichukii, kitu chochote ulichokiumba.x2

MASHAIRI

1.Unawasamehe eatu dhambi zao kwaajili ya kufanya kitubio.

2.Na kuwahurumia wote kwani wewe ndiwe Bwana Mungu wetu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa