Mtunzi: Ronjino Mhadisa
> Tazama Nyimbo nyingine za Ronjino Mhadisa
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Ronjino Mhadisa
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiEe Bwana yote uliyo tutendea umeyatenda kwa haki×2
Kwakuwa sisi tumetenda dhambi tumetenda dhambi wala hatukuzitii amri zako ×2
Ulitukuze jina lako na kututendea sawa sawa na wingi wa huruma zako.