Ingia / Jisajili

Ee Bwana Yote Uliyo Tutendea

Mtunzi: Albert Katurumula
> Mfahamu Zaidi Albert Katurumula
> Tazama Nyimbo nyingine za Albert Katurumula

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Albdrt Katurumula

Umepakuliwa mara 88 | Umetazamwa mara 142

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana yote uliyo tutendea umeyatenda kwa haki x2 Kwakuwa sisi tumetenda dhambi wala hatukuzitii amri zako x2 MASHAIRI 01.Ulitukuze jina lako na kututendea, sawasawa na wingi wa huruma yako 02.Sheria yako ni kamilifu huburudisha nafsi, ushuhuda wa Bwana ni amini

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa