Ingia / Jisajili

Ee Bwana Yote Uliyotutendea

Mtunzi: Bruno C. Nkwabho
> Mfahamu Zaidi Bruno C. Nkwabho
> Tazama Nyimbo nyingine za Bruno C. Nkwabho

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alfonce Haule

Umepakuliwa mara 198 | Umetazamwa mara 353

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO: Ee Bwana yote uliyotutendea, umeyatenda kwa haki, kwa kuwa sisi tumetenda dhambi, wala hatukuzitii amri zako X 2 1. Ulitukuze jina lako na kututendea sawasawa na wingi wa huruma zako 2. Hatukuweza kufumbua kwa vinywa vyetu mashutumu, yametuegemea sisi. 3. Usilitangue agano, nakuondoa rehema zako, tumekosa twaomba huruma 4. Kwa moyo ulio vunjika, pia unyenyekevu wa moyo, tupe nguvu za kutuokoa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa