Ingia / Jisajili

Ee Bwana Yote Uliyotutendea

Mtunzi: Jeremiah J. Yegos
> Mfahamu Zaidi Jeremiah J. Yegos
> Tazama Nyimbo nyingine za Jeremiah J. Yegos

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Jeremiah J. Yegos

Umepakuliwa mara 26 | Umetazamwa mara 60

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 25 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio. Ee Bwana yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki, kwa kuwa sisi tumetenda dhambi, wala hatukuzitii amri zako x2 1. Ulitukuze jina lako na kututendea sawa sawa na wingi wa huruma yako, sawa sawa na huruma yako E Bwana. 2. Utujalie daima na neema zako, tupate kuzishiriki baraka za mbingu, baraka za mbinguni sisi wana wako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa