Mtunzi: Martias Benard Babu
> Tazama Nyimbo nyingine za Martias Benard Babu
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,280 | Umetazamwa mara 5,254
Download NotaEe Mungu Kwa wema wako uliwahifadhi uliwahifadhi wote walioonewa waloonewa x2.
Mashairi:
1. Wenye haki watafurahi na kushangilia uso wa Mungu namu watapiga kelele kwa furaha.
2. Mwimbieni Mungu lisifuni jina lake, furahini katika Bwana shangilieni mbele zake.
3. Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane, Mungu katika kao lake katika kao takatifu.
4. Mungu huwakalisha wapweke nyumbani, huwatoa wafungwa wakae hali ya kufanikiwa.