Ingia / Jisajili

Ee Mungu ngao yetu

Mtunzi: Daniel Denis
> Mfahamu Zaidi Daniel Denis
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel Denis

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Daniel Denis

Umepakuliwa mara 22 | Umetazamwa mara 78

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Chorus Ee Mungu ngao yetu,uangalie, umtazame, uso Kristo wako. 1.Hakika siku moja katika nyua zako, ni bora kuliko siku elfu. 2.Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu wangu, kulikokukaa katika hema za uovu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa