Mtunzi: Sekwao Lrn
> Mfahamu Zaidi Sekwao Lrn
> Tazama Nyimbo nyingine za Sekwao Lrn
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: SEKWAO LRN
Umepakuliwa mara 511 | Umetazamwa mara 1,577
Download Nota Download MidiEE MUNGU NGAO YETU
(I , II, & III) Ee Mungu Ee Mungu ngao yetu, Utuangalie *2,, umtazame uso wa kristo uso wa kristo wako.*2
shairi
1. Hakika siku moja katika nyua zako, ni bora kuliko siku elfu
2.Ningependa kukaa katika nyumba yako kuliko kukaa katika hema za waovu