Ingia / Jisajili

Ee Mungu Ngao Yetu

Mtunzi: Joseph Njile
> Mfahamu Zaidi Joseph Njile
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Njile

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Joseph Njile

Umepakuliwa mara 60 | Umetazamwa mara 87

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu ngao yetu uangalie umtazame uso kristu wako 1.Hakika siku moja katika nyua zako ni Bora kuliko siku Elfu 2.Kwa kuwa Bwana Mungu ni jua na ngao Bwana atatoa neema na utukufu 3.Ningependa kukaa katika nyumba yako kuliko kukaa katika hema za waovu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa