Ingia / Jisajili

EE Mungu Nimekuita

Mtunzi: Severine A. Fabiani
> Mfahamu Zaidi Severine A. Fabiani
> Tazama Nyimbo nyingine za Severine A. Fabiani

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Sevelian Fabian

Umepakuliwa mara 503 | Umetazamwa mara 1,282

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu nimekuita kwamaana utaitika x2. Utege sikio (Bwana) ulisikie Bwana neno langu x2. 1. Ee Bwana unilinde kama mboni ya ji_cho unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako. 2. Wasinione wale wanaonionea adui za roho yangu wanaonizunguka..

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa