Ingia / Jisajili

Ee Mungu Nimekuita

Mtunzi: Peter Deus Mkali
> Mfahamu Zaidi Peter Deus Mkali
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Deus Mkali

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Mika Vincent

Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 1

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Mungu nimekuita kwa maana utaitika utege sikio lako usikie neno langu

1. Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho lako

2. Unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa