Ingia / Jisajili

Ee Mungu Nimekuita

Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Shiivah Ric

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 29 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 29 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 29 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Mungu nimekuita kwa maana utaitika, utege sikio lako ulisikie neno langu x2.

  1. Dhihirisha fadhili zako fadhili zako za ajabu, wewe uwaokoaye wanaokukimbilia. 
  2. Ee Bwana, unilinde kama mboni ya jicho, unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa