Mtunzi: Kasiani Francis
> Mfahamu Zaidi Kasiani Francis
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: FRANCIS KASIANI
Umepakuliwa mara 537 | Umetazamwa mara 1,430
Download NotaEe Mungu, ee Mungu nimekuita kwa maana utaitika,
Utege sikio lako, utege sikio lako ulisikie neno langu.
SHAIRI
1. Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho, unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako.