Mtunzi: Mmole G.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mmole G.
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Gereon Mmole
Umepakuliwa mara 903 | Umetazamwa mara 2,566
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka C
Kiitikio:
Ee Mungu, uniokoe, Ee Bwana unisaidie hima, (Ndiwe msaada wangu) x2, na mwokozi wangu, Ee Bwana usikawie.
Viimbilizi:
1.Waaibike wafedheheke, wanaoitafuta nafsi yangu, warudishwe nyuma watahayarishwe, wapendezwao na shari yangu.
2.Warudi nyuma na iwe aibu yao, wanaosema ewe ewe, washangilie wafurahie, wote wakutafutao.