Ingia / Jisajili

Ee Mungu Uniokoe

Mtunzi: Otto A.Mshami
> Mfahamu Zaidi Otto A.Mshami
> Tazama Nyimbo nyingine za Otto A.Mshami

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: otto mshami

Umepakuliwa mara 1,205 | Umetazamwa mara 3,440

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Mungu ,Ee Mungu uniokoe Ee Bwana unisaidie hima *2

Ndiwe msaada wangu na mwokozi,na mwokozi wangu Ee Bwana usikawie*2

SHAIRI

Waaibike wafedheheke wanaoitafuta nafsi yangu.Warudishwe nyuma , watahayarishwe,Wapendezwao na shari yangu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa